Bainisha ugonjwa wa zao lako gonjwa
Piga picha mmea wako wenye ugonjwa na pata ubainishaji wa ugonjwa bure pamoja na mapendekezo ya matibabu - yote ndani ya sekunde chache tu!

Plantix huwasaidia wakulima kubainisha ugonjwa na kutibu matatizo ya mazao, kuboresha uzalishaji na kupata ujuzi wa kilimo. Fikia malengo yako ya kilimo na boresha uzoefu wako wa kilimo kupitia Plantix.
Inaaminiwa na jumuiya kubwa zaidi ya kilimo
Piga picha mmea wako wenye ugonjwa na pata ubainishaji wa ugonjwa bure pamoja na mapendekezo ya matibabu - yote ndani ya sekunde chache tu!
Una swali? Hakuna wasiwasi. Jumuiya yetu ya wataalam wa kilimo itakusaidia. Unaweza pia kujifunza kuhusu kilimo cha mazao na kuwasaidia wakulima wenzako kupitia uzoefu wako.
Maktaba yetu imejiandaa kukusaidia! Ukiwa na taarifa kuhusu magonjwa ya mazao yako mahsusi pamoja na njia za kuyazuia, unaweza kuhakikisha kuwa unapata mavuno yenye mafanikio.
Kama programu ya teknolojia ya kilimo iliyopakuliwa zaidi duniani kote, Plantix imejibu zaidi ya maswali milioni 150 yanayohusiana na mazao kutoka kwa wakulima.
Plantix Intelligence · For business
Three ways for your business to plug into 150M+ real field diagnoses.
Programu hii ni fanisi na rafiki kwa watumiaji, hivyo kufanya iwe rahisi kutambua magonjwa ya mimea na kupata matibabu ya kikemikali na kibaolojia.
José Souza
Mkulima | Brazil
Kama mtaalamu wa kilimo, ninaipendekeza sana programu hii. Imekuwa fanisi katika kutambua na kutoa masuluhisho ya kupambana na magonjwa ya mimea.
Alejandro Escarra
Mtaalamu wa kilimo | Uhispania