Ngano

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
90 - 180 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
5.5 - 7

Halijoto
20°C - 26°C

Ngano

Utangulizi

Ngano ni nyasi ya familia ya Poaceae na zao kuu linalojulikana duniani kote. Lililimwa kwa ajili ya mbegu yake, punje ya nafaka, takriban miaka 10,000 iliyopita. Ngano ni zao la chakula linalouzwa zaidi na msingi wa lishe nyingi kwani ina wanga nyingi, protini na nyuzi.

Matunzo

Udongo

Udongo unaofaa zaidi kwa Triticum aestivum ni aidha udongo mwepesi wa mfinyanzi au wa tifutifu mzito wenye rutuba. Mfinyanzi mzito na mchanga wa tifutifu wenye rutuba pia unaweza kutumika, hata hivyo, kwa kawaida aina hizi za udongo hupunguza mavuno. Mtiririsho wa maji wa kutosha lazima utolewe na pH ya udongo inapaswa kuwa na asidi kidogo tu.

Hali ya hewa

Ngano hukua vyema katika hali ya hewa ya baridi kiasi na yenye unyevunyevu, huku hali ya hewa ya joto na kavu ikifaa zaidi kipindi cha uivishaji wa zao. Kwa hivyo, mikoa yenye majira ya vipupwe vyenye baridi kiasi pamoja na majira ya viangazi vyenye joto kali hufaa zaidi kwa ajili ya upandaji wa Triticum aestivum. Mwanga wa jua wa moja kwa moja ni wa manufaa kwa zao hili.

Magonjwa Yanayowezekana

Ngano

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Ngano

Ngano

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu