Kitunguu maji

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
90 - 130 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
6 - 7.5

Halijoto
15°C - 30°C

Kitunguu maji

Utangulizi

Kitunguu ni mmea sugu wa msimu wa baridi unaozaa kila baada ya miaka miwili lakini kwa kawaida hupandwa kama zao la kila mwaka. Huja katika maumbo, saizi na rangi mbalimbali. Wakulima kwa ujumla hupanda vitunguu kutoka kwenye mbegu pamoja na kupandikiza miche. Seti za vitunguu hutumiwa zaidi katika uzalishaji wa mbegu. Kulingana na muda wa aina iliyopandwa na hali ya hewa, wakulima wanaweza kulima mizunguko 3 ya vitunguu kwa mwaka.

Matunzo

Udongo

Udongo bora upelekeao mafanikio ya kilimo cha vitunguu ni udongo wenye kina kirefu, tifutifu, unaopukutika na wa aluvia, wenye uwezo wa kupitisha maji, uwezo wa kuhifadhi unyevunyevu na vitu vya kikaboni vya kutosha. Kiwango bora cha pH, bila kujali aina ya udongo, ni 6.0 - 7.5, lakini vitunguu pia vinaweza kupandwa kwenye udongo usio na alkali kali. Huhitaji jua jingi pamoja na mtiririko wa maji. Mimea ya vitunguu hukua vizuri kwenye matuta yaliyoinuliwa au mistari ya vilima vya udongo vyenye urefu wa angalau sm 10.

Hali ya hewa

Kitunguu ni zao linalostawi kwenye hali ya hewa ya wastani lakini huweza kupandwa katika tabia nchi mbalimbali kama vile tabia nchi ya wastani, tropiki na tropiki ya kati. Ustawi bora zaidi unaweza kupatikana katika hali ya hewa tulivu isiyo na baridi kali, joto kali wala mvua nyingi, hata hivyo, vitunguu vinaweza kustahimili jalidi. Huhitaji unyevunyevu wa karibia 70% kwa ajili ya ukuaji mzuri. Zao hili linaweza kukua vizuri katika maeneo ambayo wastani wa mvua kwa mwaka ni mm 650-750 na yenye usambaaji mzuri wa mvua wakati wa msimu wa mvua. Mazao ya vitunguu huhitaji joto la chini na kipindi kifupi cha mwanga wa mchana (photoperiod) kwa ajili ya ukuaji wa majani huku ikihitaji kiwango kikubwa zaidi cha joto pamoja na kipindi kirefu cha mwanga wa mchana wakati wa uundwaji wa balbu na katika hatua ya ukomavu.

Magonjwa Yanayowezekana

Kitunguu maji

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Kitunguu maji

Kitunguu maji

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu