Mtama

Umwagiliaji
Ndogo

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
70 - 120 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
6 - 7.5

Halijoto
20°C - 35°C

Mtama

Utangulizi

Pennisetum glaucum (mwere) ndio aina ya ulezi unaopandwa kwa wingi zaidi. Hujulikana kwa wingi wake wa virutubisho na uwezo wake wa kustahimili hali ya hewa mbaya kama vile mafuriko na ukame. Nafaka zake hutumika kama chakula cha binadamu, zao linalobaki hutumika kama chakula kwa ajili ya kulisha mifugo.

Matunzo

Udongo

Mwere huweza kukua katika maeneo ya udongo yenye kiwango kidogo cha rutuba, na kiwango kikubwa cha chumvi au kiwango cha chini cha pH, hivyo kuufanya kuwa mbadala mzuri wa mazao mengine. Unaweza pia kustahimili udongo wenye kiwango cha kati cha asidi ambao una kiwango cha juu cha alumini. Hata hivyo, hauwezi kustahimili maji yaliyotuama au udongo wa mfinyanzi.

Hali ya hewa

Mwere unaweza kulimwa katika maeneo yenye ukame na halijoto ya juu. Huhitaji halijoto ya juu wakati wa mchana ili nafaka ikomae. Licha ya ukinzani wake dhidi ya ukame, zao hili huhitaji mvua iliyosambaa sawasawa kipindi chote cha msimu.

Magonjwa Yanayowezekana

Mtama

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Mtama

Mtama

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu