Tikiti

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
70 - 125 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
6 - 7.5

Halijoto
20°C - 30°C

Tikiti

Utangulizi

Tikiti maji asili yake ni Afrika Kusini. Ni tunda la jangwani ambalo lina 92% ya maji pamoja na protini, madini na wanga. Matikiti maji hulimwa zaidi Maharashtra, Karnataka, Tamil Nadu, Punjab, Rajasthan, Madhya Pradesh, na Uttar Pradesh.

Matunzo

Udongo

Tikiti maji hukua vizuri kwenye udongo wenye rutuba na usiotuamisha maji. Hutoa matokeo bora pindi linapopandwa kwenye udongo wa michanga au udongo wa michanga ya tifutifu wenye rotuba. Maji lazima yaweze kupita kwa urahisi kwenye udongo vinginevyo kambakamba za mmea huu zinaweza kupata maambukizi ya fangasi. Fuata utaratibu wa kilimo cha mzunguko wa mazao kwani kupanda zao moja kila mara kwenye shamba hilohilo husababisha upotevu wa virutubishi, mavuno duni na mashambulizi zaidi ya magonjwa. pH ya udongo lazima iwe kati ya 6.0 na 7.5. Udongo wenye asidi unaweza kusababisha kunyauka kwa mbegu. Ingawa udongo wenye pH ya kati hupendekezwa, mmea huu unaweza pia kukua vizuri hata kama udongo una alkali kidogo.

Hali ya hewa

Kutokana na kuwa zao la msimu wa vuguvgu, mmea huu huhitaji jua la kutosha na hali ya hewa kavu ili kuwezesha uzalishaji wa matunda. Huko India, kwa kuwa hali ya hewa ni ya tropiki, misimu yote hufaa kwa kilimo cha tikiti maji. Hata hivyo, tikiti maji huathiriwa kwa urahisi na baridi na jalidi. Hivyo basi, katika sehemu za nchi zenye majira ya baridi kali, matikiti maji hupandwa baada ya baridi kupita. 24-27°C ni bora katika kuwezesha kuota kwa mbegu na ukuaji wa mimea ya tikiti maji.

Magonjwa Yanayowezekana

Tikiti

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Tikiti

Tikiti

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu