Mahindi

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
70 - 110 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
5.5 - 7.5

Halijoto
20°C - 30°C

Mahindi

Utangulizi

Muhindi, unaojulikana pia kama mhindi, ni nafaka itokayo kwenye familia ya Poaceae. Mmea huu ulioteshwa huko kusini mwa Meksiko takriban miaka 10,000 iliyopita na umeenea ulimwenguni kote katika miaka 500 iliyopita kutokana na uwezo wake wa kukua katika hali mbalimbali za tabia nchi. Mhindi huhesabika kama zao kuu na hutumika kwa kiasi kikubwa kama chakula, malisho na kuni.

Matunzo

Udongo

Mahindi hukua vyema kwenye udongo tifutifu usiotuamisha maji na wenye rutuba au udongo wa aluvia. Hata hivyo, mahindi yanaweza kupandwa kwenye aina mbalimbali za udongo kuanzia mchanga hadi mfinyanzi. Zao hili linaweza kustahimili asidi ya udongo, kutangua asidi ya udongo kwa kuweka chokaa kunaweza kuongeza mavuno.

Hali ya hewa

Moja ya sababu ya kwanini mahindi hupandwa duniani kote ni uwezo wake wa kukua katika wigo mpana wa mazingira mbalimbali ya tabia nchi ya kilimo. Hata hivyo, halijoto na mvua za wastani hufaa zaidi zao hili.

Magonjwa Yanayowezekana

Mahindi

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Mahindi

Mahindi

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu