Dengu Nyeusi & Kijani

Umwagiliaji
Ndogo

Kulima
upandaji mbegu moja kwa moja ardhini

Kuvuna
60 - 100 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
6 - 7.5

Halijoto
20°C - 35°C

Dengu Nyeusi & Kijani

Utangulizi

Choroko nyeusi ni mtishamba wa kila mwaka ulio wima, wenye majani yenye vinywele nywele na maganda ya mbegu membamba ya urefu wa sm 4-6. Shina lina matawi na mmea una mwonekano wa kichaka. Mmea huu hutegemea mzizi uliokua vizuri. India huzalisha takriban tani milioni 1.5 za mbegu za choroko nyeusi kwa mwaka, wazalishaji wengine wakubwa wakiwa Myanmar na Thailand.

Matunzo

Udongo

Aina bora za udongo ni vertisol mweusi wenye rutuba au udongo tifutifu usio tuamisha maji na wenye pH ya 6-7. Hata hivyo, ikiwa chokaa na jasi zitaongezwa kwenye udongo, Vigna mungo inaweza kustahimili udongo wenye asidi hadi pH ya 4.5. Zao hili huathiriwa kiurahisi na udongo wa chumvi na alkali. Linastahimili ukame na hukua vyema katika maeneo yenye hali ya nusu jangwa.

Hali ya hewa

Vigna mungo inaweza kupatikana katika maeneo ya kitropiki ya Asia, Madagaska na Afrika. Mmea huu kimsingi umeenea katika nyanda za chini lakini unaweza kupatikana hadi m 1800 juu ya usawa wa bahari. Hustawi vizuri zaidi katika misimu ya ukavu kwenye halijoto kuanzia 25°C hadi 35°C.

Magonjwa Yanayowezekana

Dengu Nyeusi & Kijani

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Dengu Nyeusi & Kijani

Dengu Nyeusi & Kijani

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu