Mbiringanya

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
iliyopandikizwa

Kuvuna
70 - 110 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
5.5 - 7

Halijoto
15°C - 30°C

Mbiringanya

Utangulizi

Biringanya, inayojulikana pia kama biringani, ni mmea wa familia ya nightshade (Solanaceae) na hupandwa kwa ajili ya matunda yake yanayoliwa. Zao hili hapo awali lililimwa nchini India na sasa linaweza kupatikana katika tabia nchi zenye hali ya hewa ya vuguvugu duniani kote.

Matunzo

Udongo

Solanum melongena huhitaji udongo wenye rutuba, wenye matundu matundu, unaopitisha maji kwa urahisi lakini usio mkavu. Udongo unapaswa kuwa na asidi kidogo tu, pH ya 6.5 hufaa zaidi. Mizizi ya mmea huu huingia hadi umbali wa sm 50 ndani ya udongo, kwa hiyo udongo usio na kizuizi hupendelewa zaidi.

Hali ya hewa

Solanum melongena hukua katika tabia nchi za kitropiki hadi za joto la wastani. Inapooteshwa katika hali ya hewa za baridi hatua za ukuaji hubidi kuanzia katika nyumba ya uoteshaji mimea kwanza mpaka pale udongo utakapokua na joto la kutosha kuruhusu upandikizaji. Katika tabia nchi za baridi zao hili hupandwa kama zao la kila mwaka, wakati tabia nchi za vuguvugu huruhusu upandaji wa kudumu. Mwanga wa jua wa moja kwa moja huwa na faida kwenye ukuaji wa mmea.

Magonjwa Yanayowezekana

Mbiringanya

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Mbiringanya

Mbiringanya

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu