Mti wa jamii ya mchungwa

Umwagiliaji
Wastani

Kulima
iliyopandikizwa

Kuvuna
1 - 365 siku

Nguvukazi
Wastani

Mwanga wa jua
full sun

Thamani ya pH
5.5 - 7.5

Halijoto
13°C - 35°C

Mti wa jamii ya mchungwa

Utangulizi

Miti jamii ya mchungwa ni jamii ya miti inayochanua maua na vichaka katika familia ya Rutaceae, asili yake inatokea maeneo ya tropiki ya kati na ya kitropiki ya kusini-Mashariki mwa Asia. Leo, spishi zingine ni muhimu kiuchumi katika bonde la Mediterania, bara la India na kusini mwa USA, ambapo hupata udongo pamoja na hali ya hewa nzuri. Machungwa, malimao, balungi, na ndimu ni miongoni mwa matunda ya miti ya jamii ya mchungwa.

Matunzo

Udongo

Miti ya jamii ya mchungwa huhitaji kati ya sm 60 na mita 1 ya udongo wa juu unaoweza kupitisha maji vizuri ili kukua vyema. Udongo tifutifu na michanga tifutifu hupendekezwa, uongezaji mboji pia hufaa zaidi. Katika udongo wenye mchanga mwingi, wenye uwezo mdogo wa kuhifadhi maji, kuna hatari ya virutubisho kupotea. Udongo wa mfinyanzi unaweza kusababisha kuoza kwa kola na mizizi na hata hatari ya mti kufa. pH bora ni kati ya 6.0 na 6.5 na pH zaidi ya 8 inapaswa kuepukwa. Miteremko ya hadi 15% inafaa ikiwa kama mmomonyoko wa udongo na utiririshaji wa maji kupita kiasi vitaepukwa. Vizuia upepo vinapendekezwa

Hali ya hewa

Spishi hizi hufurahia zaidi maeneo ya uvuguvugu yenye halijoto ya wastani lakini zina uwezo wa kustahimili baridi kali (kutegemeana na aina). Jamii ya mchungwa huweza kustahimili joto la juu ikiwa kama unyevu wa udongo ni bora. Miti ina uwezo wa kustahimili baridi kali lakini kwa ujumla haipendekezwi katika maeneo yenye jalidi kali za mara kwa mara. Upinzani dhidi ya baridi hutofautiana baina ya aina ya mti, umri wa miti na afya ya mti. Mti mchanga utaharibiwa hata na theluji nyepesi ilhali mti uliokomaa unaweza kustahimili halijoto ya hadi -5° C kwa muda mfupi. Miti iliyo na shida ni rahisi zaidi kuathiriwa.

Magonjwa Yanayowezekana

Mti wa jamii ya mchungwa

Jifunze yote kuhusu jinsi ya kuikuza kupitia Plantix!

Mti wa jamii ya mchungwa

Mti wa jamii ya mchungwa

Kuza mazao yenye afya na pata mavuno mengi kupitia Programu ya Plantix!

Mambo Muhimu