Sakinisha programu ya Plantix bure kutoka Google Play Store! Bofya tu kitufe hichi:


Jinsi ya Kupakua Programu ya Plantix kwenye Simu yako ya Android

Hivi ndivyo jinsi unavyofanya:


Ingia Google Play Store na ubofye sakinisha




Chagua simu ambayo ungependa kusakinisha Plantix ndani yake. Kisha bonyeza "Endelea".

Endapo kama simu yako haionekani, unaweza kupata maelekezo hapa:

Jinsi ya kuunganisha kifaa chako na akaunti yako ya Google




Subiri hadi simu yako ikuambie kuwa Plantix imesakinishwa uanze kuleta mapinduzi katika kilimo chako.


Kwa nini nipakue Plantix kwenye Simu janja yangu ya Android?

Kwanini nipakue Plantix?

  • Utambuzi wa papo hapo wa ugonjwa na ushauri wa matibabu
  • Jumuiya yenye zaidi ya wataalam 500 wa kilimo
  • Kikokotoo cha mbolea kwa ajili ya mazao yako na saizi yako ya shamba
  • Ushauri wa kilimo kwa ajili ya mzunguko wote wa mazao yako
  • Tahadhari za ugonjwa na hatua za kuzuia