Programu #1 itolewayo BURE, ya ubainishaji wa magonjwa na utabibu wa mazao

Plantix huwasaidia wakulima kubainisha ugonjwa na kutibu matatizo ya mazao, kuboresha uzalishaji na kupata ujuzi wa kilimo. Fikia malengo yako ya kilimo na boresha uzoefu wako wa kilimo kupitia Plantix.

Inaaminiwa na jumuiya kubwa zaidi ya kilimo


Ongeza uzalishaji wako wa mazao

Bainisha ugonjwa wa zao lako gonjwa

Piga picha mmea wako wenye ugonjwa na pata ubainishaji wa ugonjwa bure pamoja na mapendekezo ya matibabu - yote ndani ya sekunde chache tu!

Pata ushauri wa kitaalam

Una swali? Hakuna wasiwasi. Jumuiya yetu ya wataalam wa kilimo itakusaidia. Unaweza pia kujifunza kuhusu kilimo cha mazao na kuwasaidia wakulima wenzako kupitia uzoefu wako.

Je, unatafuta kuongeza mavuno ya mazao yako?

Maktaba yetu imejiandaa kukusaidia! Ukiwa na taarifa kuhusu magonjwa ya mazao yako mahsusi pamoja na njia za kuyazuia, unaweza kuhakikisha kuwa unapata mavuno yenye mafanikio.

Plantix katika takwimu

Kama programu ya teknolojia ya kilimo iliyopakuliwa zaidi duniani kote, Plantix imejibu zaidi ya maswali milioni 100 yanayohusiana na mazao kutoka kwa wakulima.


Tazama kile kinachosemwa na watumiaji wetu

Programu hii ni fanisi na rafiki kwa watumiaji, hivyo kufanya iwe rahisi kutambua magonjwa ya mimea na kupata matibabu ya kikemikali na kibaolojia.

José Souza

Mkulima | Brazil

Kama mtaalamu wa kilimo, ninaipendekeza sana programu hii. Imekuwa fanisi katika kutambua na kutoa masuluhisho ya kupambana na magonjwa ya mimea.

Alejandro Escarra

Mtaalamu wa kilimo | Uhispania

Programu hii ilitoa uchambuzi na suluhisho nzuri sana kwa ajili ya magonjwa ya mmea wangu. Ninaipendekeza sana kwa mtu yeyote anayetaka kuboresha afya ya mazao yake!

Wati Singarimbun

Mkulima | Indonesia